Injinia 'anatest' mitambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2021
Injinia 'anatest' mitambo

Kesho Wananchi watashuka pale uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Nyasa Big Bullets ya Malawi katika mchezo wa ufunguzi michuano ya CECAFA Kagame Cup

Lakini mpaka sasa mashabiki wa Yanga bado hawajapata taarifa rasmi za usajili pamoja na kuwa huenda baadhi ya wachezaji wapya wakatumika katika michuano hiyo

Sasa wananchi wameambiwa watulie kwani wakati wowote lile kochi jeupe la Injinia Hersi Said litaanza kuanika vifaa vipya

Imeelezwa Yanga imekamilisha usajili wake kwa staili ya 'kimya-kimya' kazi iliyobaki ni kutambulishwa kwa wachezaji hao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’