Hapa Yacouba, kule Fiston Mayele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2021
Hapa Yacouba, kule Fiston Mayele

Pichani juu ni mshambuliaji wa AS Vita Fiston Mayele alipokutana na Yacouba Songne ambaye ameondoka jijini Dar es salaam kurejea Burkina Faso kwa ajili ya mapumziko

Mayele alikuwa njiani kuja Tanzania kukamilisha usajili wake Yanga

Wawili hao huenda wakawa pamoja msimu ujao kuongoza safu ya ushambuliaji

Mayele anatajwa kuwa tiba sahihi kumaliza changamoto katika safu ya ushambuliaji ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’