Hayakuwa matokeo tuliyoyahitaji - Shikhalo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2021
Hayakuwa matokeo tuliyoyahitaji - Shikhalo

Mlinda lango wa Yanga Farouk Shikhalo amesema walihitaji kupata ushindi katika mchezo dhidi ya Atlabara ili kujiwekea nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali lakini haikuwa bahati yao, wanajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata

"Hayakuwa matokeo tuliyohitaji, vijana wamepambana lakini bahati haikuwa yetu, tunajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata," alisema Shikhalo

Keshokutwa Jumamosi, Yanga itakamilisha hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa kuikabili Express mabingwa wa Uganda, katika mchezo ambao Yanga inahitaji ushindi

Yanga ilikuwa na kila nafasi ya kupata ushindi dhidi ya Atlabara lakini kukosekana kwa umakini kulipelekea nafasi nyingi zikapotea licha ya kuwa mlinda lango wa Atlabara pia alikuwa kikwazo

Yanga inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi A wakiwa na alama mbili kama ilivyo kwa Big Bullets huku Express wakiongoza msimamo na alama zao nne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’