Hatma ya Yanga mikononi mwa Express Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2021
Hatma ya Yanga mikononi mwa Express Fc leo

Kikosi cha Yanga jioni ya leo kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kukamilisha hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Kagame kwa kuumana na Express Fc

Ni mchezo utakaoamua hatma ya Yanga kwenye michuano hiyo, Wananchi wakihitaji ushindi ili kutinga nusu fainali

Express Fc ndio vinara wa kundi A wakiwa na alama nne huku Yanga na Nyasa Big Bullets zikiwa na alama mbili kila moja

Atlabara wana alama moja lakini kimahesabu nao wanaweza kuingia nusu fainali kama watapata ushindi mnono dhidi ya Nyasa Big Bullets

Kocha wa Yanga Razak Siwa amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi jioni

Amewaasa mashabiki kujitokeza kwa wingi dimba la Mkapa kuipa sapoti timu yao ili kuhakikisha inaondoka na ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’