Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa mpaka sasa wamekamilisha usajili wa wachezaji sita
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema nyota waliosajiliwa wametimiza vigezo kulingana na mahitaji ya kocha Nasreddine Nabi
Aidha Mfikirwa amesema ipo michakato ya usajili kwa wachezaji wengine inaendelea na watatangaza baada ya kukamilika
Nyota ambao usajili wao umekamilika kwa asilimia 100% ni Shabani Djuma, Heritier Makambo na Fiston Mayele
Wengine ni Yusuph Athumani, Dickson Ambundo na David Bryson
ADVERTISE HERE