Leo kocha wa Singida United Hans van Pluijm anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 69 (amezaliwa 3 January 1949).
Pluijm tunatambua mchango wake katika klabu ya Yanga. Ni moja wa makocha waliopita Yanga na kuifanya kuwa tishio katika soka la Tanzania.
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu.
HAPPY BIRTHDAY HANS VAn DER PLUIJM

ADVERTISE HERE