Aucho anasubiri kutambulishwa tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2021
Aucho anasubiri kutambulishwa tu

Safari hii huko Jangwani hakuna masihara! Kwani vyuma vimeendela kushushwa jijini Dar es salaam kukamilisha usajili wao

Jana alitambulishwa mlinda lango wa Kimataifa kutoka Mali Djgui Diarra, anayefuata sasa ni kiungo wa Kimataifa wa Uganda Khalid Aucho

Huyu mwamba usajili wake umekamilishwa 'kibabe' kwani awali alikuja Tanzania kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Simba

Jamaa wakaweka mezani ofa ndogo, Bosi Ghalib Said Mohammed, Rais wa Makampuni ya GSM akapindua meza kibabe na kumshawishi kutua Jangwani

Mpaka wakati huu Aucho yuko viunga vya Avic Town akisubiri utambulisho wake

Bila shaka wakati wowote mkata umeme huyu atatambulishwa rasmi kuwa ni Mwananchi

Aucho anakuwa mchezaji wa tano wa kigeni kusajiliwa na Yanga katika kipindi hiki cha usajili baada ya Shabani Djuma, Fiston Mayele, Heritier Makambo na Djgui Diarra

Hapo bado wa Kimataifa wawili, mlinzi wa kati na kiungo wa ushambuliaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’