Yanga imepokea ofa nono kutoka kwa timu kadhaa zinazowania huduma ya winga Tuisila Kisinda
RS Berkane ni miongoni mwa timu zilizowasilisha ofa kumtaka Kisinda. Kocha Mkuu wa timu hiyo Florente Ibenge anatajwa kupendekeza usajili huo
Hata hivyo imeelezwa upo mvutano baina ya mabosi wa Yanga na GSM iwapo mchezaji huyo auzwe au la
Lakini kwa hakika wakati huu ambao Yanga inaimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, haitakuwa vyema kuuza wachezaji wake muhimu
Kisinda tayari ameizoea ligi ya Tanzania, msimu ujao atafanya vizuri zaidi
Yanga kwa sasa inasajili wachezaji bora na hivyohivyo haipaswi kuuza wachezaji wake bora
ADVERTISE HERE