Djuma aahidi makombe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
13 Aug 2021
Djuma aahidi makombe

Mlinzi mpya wa Yanga Djuma Shabaan leo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Yanga 

Djuma aliyetua Yanga akitokea klabu ya AS Vita, amesema amefurahi kusajiliwa na mabingwa hao wa kihistoria kwani anatambua ukubwa wa klabu ya Yanga

Djuma amesema furaha yake itakuwa zaidi kama ataweza kuisaidia Yanga kushinda mataji mbalimbali

"Nimefurahi kusajiliwa na Yanga kwa sababu ni timu kubwa. Furaha yangu itakuwa mara dufu zaidi kama nitashinda mataji. Hiyo ndio dhamira yangu kubwa, kuiona Yanga inatamba Afrika," alisema Djuma

Djuma alisajiliwa na Yanga tangu mwezi Juni ambapo usajili wake ulikamilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said

Katika hatua nyngine, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo wanayo kila sababu ya kuwashukuru na kuwapongeza wadhamini wao GSM kwani wamefanya kazi kubwa kuwasajili wachezaji hao

Mfikirwa amesema haikuwa rahisi kumpata Djuma kwani nyota huyo alikuwa akiwaniwa na timu nyingi barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →