Tarehe kama ya leo amezaliwa mtu mhimu sana katika klabu ya Yanga, Thabity Kandoro
Kandoro ndiye Mkurugenzi wa Mashindano akishirikiana bega kwa bega na viongozi wenzake wa Kamati ya Mashindano ili kuhakikisha Yanga inafanya vizuri katika michuano yote inayoshiriki
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY KANDORO..!
ADVERTISE HERE