Balama anaendelea kuimarika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Aug 2021
Balama anaendelea kuimarika

Kiungo mshambuliaji Mapinduzi Balama ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wako Morocco wakiendelea na pre-season

Balama anaendelea na program ya mazoezi chini ya uangalizi wa Daktari kabla ya kuanza mazoezi ya timu na wenzake

Ni kawaida mchezaji anapoumia na kukaa nje kwa muda mrefu, umakini unahitajika katika kumuandaa kurejea uwanjani kuhakikisha hatoneshi majeraha

Balama amekaa nje mwaka mzima akiuguza jeraha la kifundo cha mguu alilopata mwishoni wa msimu wa 2019/20

Matumaini ni makubwa kuwa Balama ataweza kurejea uwanjani akiwa imara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’