Wiki ya Mwananchi itazinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki hii, Jumapili August 22 visiwani Zanzibar
Kilele cha wiki hiyo ni August 29 pale uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo kikosi cha Yanga kitatambulishwa rasmi mbele ya mashabiki
Uongozi wa Yanga, umewaasa wapenzi, wanachama na mashabiki wake kushiriki kikamilifu katika wiki ya Mwananchi kwa kujitolea kufanya shughuli mbalimbali katika jamii zao

ADVERTISE HERE