Walinda lango Djigui Diarra, Erick Johora na Ramadhani Kabwili wako kambini Morocco wakijifua chini ya kocha Razack Siwa
Baada ya changamoto zilizojitokeza msimu uliopita katika eneo la golikipa, uongozi wa Yanga umeboresha kwa kusajili makipa wawili wa daraja la juu
Djigui alikuwa mlinda lango bora ligi kuu ya Mali wakati Johora alikuwa kipa namba moja klabu ya Aigle Noir
Hapa lango la Yanga litakuwa katika mikono salama....!

ADVERTISE HERE