Ni ITC ya mchezaji mmoja tu iliyochelewa - Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2021
Ni ITC ya mchezaji mmoja tu iliyochelewa - Bumbuli

Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu hati za Uhamisho wa Kimataifa (ITC) baadhi ya wachezaji zinazodaiwa hazijafika

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema walikamilisha usajili wa wachezaji wote wa kigeni kwa wakati ikiwa ni pamoja na kupata ITC zao isipokuwa mchezaji mmoja ambaye mchakato wa kupata ITC yake ulikuwa ukiendelea

"Tumekamilisha usajili wa wachezaji wetu wote wa kigeni ikiwa ni pamoja na kupata ITC zao isipokuwa mchezaji mmoja, Khalid Aucho. Mpaka jana jioni tulikuwa tukikamilisha upatikanaji wa ITC ya Aucho ambayo ilichelewa kutokana na sababu za Mawasiliano"

"Hdi wakati naondoka ofisini jana jioni mchakato ulikuwa ukiendelea na pengine jambo hilo litakuwa limekamilishwa usiku," alisema Bumbuli

Bumbuli amewahakikishia mashabiki wa Yanga kuwa nyota wote wa kigeni waliowasajili katika dirisha hili la usaji, watawatumia katika michuano ya ligi ya mabingwa kwani usajili wao ulikamilishwa kabla ya August 15 siku ambayo dirisha la usajili la CAF lilifungwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
53m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’