Uzinduzi wa wiki ya Mwananchi ni visiwani Zanzibar Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2021
Uzinduzi wa wiki ya Mwananchi ni visiwani Zanzibar Jumamosi

Wiki ya Mwananchi inaanza wikiendi hii ambapo uzinduzi utafanyika visiwani Zanzibar kesho Jumamosi, August 21, 2021

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Suma Mwaitenda amesema Wiki ya Mwananchi itabeba mambo makubwa manne

Amesema baada ya uzinduzi visiwani Zanzibar, Wanayanga watashiriki katika shughuli za kurejesha kwa jamii kwa kutoa huduma ikiwa ni pamoja na kuchangia damu, kufanya usafi na kutoa misaada kwa wasiojiweza

Kilele cha wiki hiyo ni Jumapili ya Augist 29 2021 ambapo siku hiyo itaashiria kumalizika kwa msimu uliopita na kuanza kwa msimu mpya

Amesema siku hiyo kutakuwa na matukio mbalimbali kama kutambulisha vikosi vya Yanga timu ya vijana na Wanawake, kutambulisha wachezaji na benchi la ufundi pia watazindua jezi mpya za msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’