Uzinduzi wiki ya Mwananchi ni leo Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2021
Uzinduzi wiki ya Mwananchi ni leo Zanzibar

Tukio kubwa la uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi linafanyika leo visiwani Zanzibar

Mgeni rasmi wa tukio hilo ni Hemed Suleiman Abdullah, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar

Kuelekea Uzinduzi huo, jana  Viongozi wa Yanga walikabidhi magodoro 30 ya chapa GSM kwa hospitali za Mwembeladu na Mnazi Mmoja Zanzibar

Magodoro hayo yalipokelewa na Mhe. Riziki Pembe Juma Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi

Uzinduzi huo utaashiria Wananchi kujitolea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii, kutoa misaada na kuchangia damu

Kilele cha Wiki ya Mwananchi ni August 29 uwanja wa Benjamin  Mkapa ambapo kutakuwa na utambulisho wa kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujao

Aidha jezi mpya kwa ajili ya msiimu ujao zinatarajiwa kutambulishwa siku chache kabla ya kilele cha wiki ya Wananchi Jumapili ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’