Yanga imemtambulisha rasmi Haji Manara kuwa Mhamasishaji wa klabu
Manara ametua baada ya majadiliano ya muda na uongozi akifanya uamuzi huo baada ya kushauriana na familia yake
Manara amesema amekuja Yanga kufanya kazi, akiomba ushirikiano kutoka kwa Wanayanga wote
Ameomba radhi pale alipowakosea Wananchi lakini sasa akitangaza kuwa atafanya kazi mara 10 ya vile alivyofanya akiwa Simba
Manara ni Mwananchi muda mrefu, ni sawa na mtoto aliyekuwa amepotea nyumbani kwao
Sasa amerejea nyumbani...!
ADVERTISE HERE