Shoo nzima itakuwa 'mbashara' Azam Sport HD 1

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2021
Shoo nzima itakuwa 'mbashara' Azam Sport HD 1

Kwa wale Wananchi wa mikoani ambao wameshindwa kufika jijini Dar es salaam kuwa sehemu ya kilele cha wiki ya Mwananchi hapo kesho, watapaswa kuwa karibu na runinga zao kwani Azam Sport watakueletea yote yanayojiri

Ndio, Azam Media na Yanga kwa sasa ni kitu kimoja! Wana ushirikiano rasmi kwa muda wa miaka 10

Siku ya kesho Jumapili nchi itasimama kwa muda kushuhudia tukio hilo kubwa kabisa

Kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wapya, benchi la ufundi, burudani kali kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Koffi Olomide na kisha itapigwa mechi ya kimataifa ya kirafiki baina ya Yanga SC na Zanaco FC, kutoka Zambia

Kwa wale ambao bado hawajakata tiketi, leo huenda zoezi hilo litafungwa hivyo changamka..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’