Kiungo Mukoko Tonombe ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga katika msimu uliopita
Aidha Yacouba Songne ameshinda tuzo ya mfungaji bora wakati Kibwana Shomari ameshinda tuzo ya mchezaji bora kijana
Tuzo hizo zilitolewa wakati wa mapumziko katika mchezo wa kuhitimisha wiki ya Mwananchi kati ya Yanga dhidi ya Zanaco Fc uliomalizika kwa wageni kuondoka na ushindi wa mabao 2-1


ADVERTISE HERE