Umezisikia tambo za Mzee Akilimali

Admin By Admin
β€’
9 Jul 2017
Umezisikia tambo za Mzee Akilimali
Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amejitapa kuwa ujio wa mshambuliaji, Ibrahim Ajibu kutoka Simba kutazidi kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji.

Yanga wamekata mzizi wa fitina baada ya Jumatano wiki hii kumtambulisha Ajibu kuwa mchezaji wao mpya kwa msimu ujao baada ya kumsainisha kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba.

Ajibu anaungana na washambuliaji wengine wa kikosi hicho wakiwemo Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Obrey Chirwa.

Akilimali amesema kuwa, anaamini kuongezeka kwa Ajibu katika safu yao ushambuliaji kutazidi kuiongezea makali timu yao kutokana na uwezo mkubwa alionao.

Ò€œAjibu ni miongoni mwa wachezaji wazuri sana, ujio wake tunaamini utaleta mabadiliko katika safu ya ushambuliaji akishirikiana na wachezaji wenzake aliowakuta na wale wanaosajiliwa.

Ò€œNi matumaini yetu sisi kutokana na uwepo wake pamoja na kina Ngoma na Tambwe ile safu yetu ya ushambuliaji itakuwa bora sana msimu ujao na itatisha kuliko msimu huu uliomalizika,Ò€ alisema Akilimali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’