Kikosi cha Yanga kimerejea kambini Avic Town, Kigamboni kuanza maandalizi ya mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Baada ya shamrashamra za wiki ya Mwananchi kuhitimishwa siku ya Jumapili, Wananchi wamerejea kazini sasa





ADVERTISE HERE