Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Avic Town, Kigamboni kuelekea mchezo wa hatua ya awali ligi ya Mabingwa dhidi ya Rivers United
Mchezo huo utapigwa Septemba 12 kunako dimba la Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE