Happy Birthday Kibwana Shomari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2021
Happy Birthday Kibwana Shomari

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi mahiri wa Yanga Kibwana Shomari

Msimu wake wa kwanza na Yanga ulikuwa na mafanikio makubwa, akiwa mchezaji tegemeo katika kikosi cha kocha Nasreddine Nabi licha ya umri wake mdogo

Kibwana alimaliza msimu uliopita akiwa mchezaji aliyeongoza kwa kucheza dakika nyingi katika kikosi cha Yanga

Msimu huu ameanza vyema pia, licha ya usajili wa Shabani Djuma, Kocha Nabi ameendelea kumtumia

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu kwake

HAPPY BIRTHDAY KIBWANA..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’