Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake Avic Town, Kigamboni kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United
Mchezo huo utapigwa Jumapili, Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kikosi cha Yanga kimekamilika baada ya wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa kurejea





ADVERTISE HERE