Ratiba Ligi Kuu hadharani, Yanga na Simba Disemba 11

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2021
Ratiba Ligi Kuu hadharani, Yanga na Simba Disemba 11

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Almas Kasongo ametangaza Ligi Kuu msimu huu msimu 2021/22 itaanza Septemba 27

Jumla ya michezo 240 itachezwa na kuonyeshwa mbashara na Azam Tv

Ligi itasimama kupisha ratiba ya FIFA/CAF mara 19, Azam Sports Federation Cup na Mapinduzi Cup itafanya kusimama pia ligi

Mechi zitacheza saa nane mchana, 10 jioni, 11 jioni 12 jioni, saa moja usiku na saa mbili usiku.

Mechi zitachezwa katikati ya wiki na mwisho wa wiki. Mchezo wa kwanza wa Derby ya Dar es Salaam kati ya Simba na Yanga utapigwa Disemba 11

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’