Mapema leo baadhi ya Viongozi wa Yanga, Mjumbe wa Kamati ya Mashindano, eng. Hersi Said na Msemaji Haji Manara wamefika nyumbani kwa aliyekuwa mmoja wa wazee wa Yanga, Hashim Muhika kutoa mkono wa pole
Mzee Muhika alifariki Jumapili iliyopita na kuzikwa Jumatatu kijijini kwake Kisiju mkoani Pwani





ADVERTISE HERE