Mwenyekiti wa zamani wa FAT (sasa TFF) Muhidini Ndolanga amefariki dunia leo Hospitali ya TMJ Jijini Dar es salaam
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu na wadau wa soka Tanzania kufuatia msiba huo

ADVERTISE HERE