Bryson arejea kikosini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2021
Bryson arejea kikosini Yanga

Mlinzi wa kushoto wa Yanga David Bryson ameanza mazoezi ya timu baada ya kupona majeraha

Bryson anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Simba kwenye mchezo Ngao ya Jamii ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumamosi Septemba 25

Bryson alisajiliwa na Yanga katika dirisha la usajili lililopita akitokea klabu ya KMC

Hata hivyo bado Wananchi hawajamshuhudia dimbani na klabu yake mpya kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimkabili

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa Bryson na Mapinduzi Balama wamepona na wanaweza kuwa sehemu ya mchezo Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’