Maandalizi kwa ajili ya Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2021
Maandalizi kwa ajili ya Ngao ya Jamii

Baada ya mapumziko ya siku moja, Yanga ilirejea mazoezini leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Habari njema ni kurejea kikosini kwa wachezaji wote waliokuwa majeruhi

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amethibitisha wachezaji wote waliokuwa majeruhi wamepona na leo wameanza rasmi mazoezi na wenzao

Nyota hao ni David Bryson, Mapinduzi Balama na Yassin Mustafa

Lakini pia Shabani Djuma, Fiston Mayele na Khalid Aucho nao wamerejea rasmi kikosini baada ya kukosa michezo ya ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United sababu ya ITC zao kuchelewa

Ufafanuzi ulishatolewa kuwa wachezaji hao wanaruhusiwa kushiriki mashindano yote ya ndani kwani ITC zao ziliwasili ndani ya muda wa usajili wa ndani (August 16) hawakuwa na sifa ya kucheza hatua ya awali na raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa tu

Ipo dhamira ya kweli kwa wachezaji kuhitaji kushinda mchezo wa Ngao ya Jamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’