Katika msimu uliopita, Yanga imeongoza kwa mapato katika mechi zake walizocheza nyumbani
Hii ni kutokana na klabu hiyo kuongoza kwa idadi ya mashabiki walioingia uwanjani kuliko klabu yoyote katika msimu wa ligi kuu 2020/21
Yanga imeingiza takribani Tsh 986, 826, 000
Hii Yanga ina watu, uthibitisho ni takwimu hizi zinazotolewa na TFF

ADVERTISE HERE