Wananchi wanaendelea kujifua Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba
Ni mchezo ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wachezaji wa Yanga wanajifua huku morali yao ikiwa juu, hawana hofu yoyote kuelekea mchezo huo
Inyeshe mvua, liwake jua, Wananchi wanaitaka Ngao ya Jamii Jangwani!

ADVERTISE HERE