Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, mashabiki wa Yanga wameendelea kujitokeza kwa wingi Makao Makuu ya klabu, Jangwani kununua jezi
Matumaini ni makubwa kwa mashabiki wa Yanga siku ya Jumamosi itakuwa ya furaha kwao
Tayari tiketi zimeanza kuuzwa katika vituo vilivyoainishwa na TFF

ADVERTISE HERE