Yanga wamebeba Ngao ya Jamii kibabe baada ya kuichapa Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Fistoooooooon, ndiye aliyepeleka kilio Msimbazi kwa bao maridadi alilofunga kwa shuti kali kwenye dakika ya 12
Ni muda uleule ambao Zawadi Mauya aliwalaza na viatu Julai 03 katika mchezo wa ligi kuu
Huu ni mwanzo tu, ushindi wa heshima kwa Wananchi...!
ADVERTISE HERE