Uongozi wa klabu ya Yanga, leo Jumatatu Septemba 27 2021 utakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu, Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam
Wanahabari wamealikwa katika Mkutano huo utakafanyika kuanzia saa sita kamili mchana
ADVERTISE HERE