Kocha URA aihofia Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2018
Kocha URA aihofia Yanga
Kocha Mkuu wa URA Nkata Paul amesema mchezo wa nusu fainali kati ya timu yake dhidi ya Yanga utakuwa mgumu sana.

Nkata alitamani Yanga iibuke na ushindi kwenye mchezo dhidi ya Singida United ili aikwepe katika mchezo huo wa nusu fainali.

"Kitu kinachonifanya kuihofia Yanga kwanza ni timu ambayo huwezi kuikariri kila siku inakuja na kikosi kipya na wachezaji wake wengi ni vijana wana kasi na nguvu za kupambana ukilinganisha na timu nyingine hicho ndiyo kina nifanya niwe na hofu ya kukutana nao," amesema Nkata.

Kocha huyo amesema anatambua kwamba Yanga inawakosa baadhi ya wachezaji wake wenye uzoefu na majina makubwa lakini vijana waliopo kwake yeye ndiyo anaona ni hatari kuliko wachezaji hao ambao wangeifanya timu kutokuwa na tofauti na klabu za Simba, Singida United na Azam FC.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’