Huyu Yusuf ni suala la muda tu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2021
Huyu Yusuf ni suala la muda tu Yanga

Mashabiki wengi wanatamani kuona mshambuliaji Yusufu Athumani anapewa muda zaidi wa kutumika katika kikosi

Ni kwa sababu katika dakika chache ambazo huwa anapewa na kocha Nasreddine Nabi, amekuwa akifanya vizuri sana

Juzi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold, Yusufu alifunga bao ambalo kama mshika kibendera angekuwa makini, lilipaswa kuwa goli halali

Alianza kuonekana kikosini katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United, alionyesha kiwango kizuri

Pengine ndio sababu hata Yanga walipokwenda Nigeria, Yusufu alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao Rivers waliwafanyia 'zengwe' ili wasicheze kwa kisingizio cha kuwa na maambukizi ya uviko-19

Ni suala la muda tu, Yusufu ataingia katika kikosi cha kwanza hasa kama uzembe katika matumizi ya nafasi utaendelea kwa baadhi ya wachezaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’