Mchezo wa ligi kuu kati ya KMC dhidi ya Yanga ambao utapigwa Oktoba 19, utafanyika mkoani Ruvuma
Imeelezwa KMC wamechagua kutumia uwanja wa Majimaji kwa ajili ya mchezo huo
Kila timu imeruhusiwa kucheza mechi moja nje ya kiwanja chake rasmi cha nyumbani
Msimu uliopita KMC waliupeleka Mwanza mchezo dhidi ya Yanga
ADVERTISE HERE