Wakiwa waalikwa kwenye michuano ya COSAFA, timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars imetwaa ubingwa wa michuano hiyo baada ya kuichapa Malawi bao 1-0
Ukizungumzia mafanikio kwenye soka la Wanawake, basi Twiga Stars wamedhihirisha wako tayari kushindana kwenye Jukwaa la Kimataifa
Tunawapongeza sana kinadada hawa kwa kuweza kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania

ADVERTISE HERE