Stars wanahitaji ushindi Benin

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2021
Stars wanahitaji ushindi Benin

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jana jioni ilifanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kufuzu fainali za michuano ya kombe la Dunia dhidi yaΒ  Benin

Mchezo huo utapigwa leo Jumapili saa kumi jioni huko Benin

Baada ya kupoteza mchezo uliopigwa jijini Dar es salaam, Tanzania inapaswa kushinda mchezo huo ili kuwa na matumaini ya kupigania nafasi ya kucheza kombe la Dunia

Kama ulishuhudia mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi, ni ngumu kuamini kuwa Tanzania ilifungwa, kwani ilicheza vyema na kutengeneza nafasi nyingi

Iliadhibiwa kwa kuwa washambuliaji wake walishindwa kutumia nafasi nyingi walizotengeneza wakati Benin walipata nafasi moja muhimu na wakaitumia

Tanzania bado ina nafasi ya kufanya vizuri huko Benin na wanapaswa kushinda kuendelea kuwa na matumaini

Kocha Mkuu wa Stars Kim Poulsen amesema vijana wake wako tayari na wamedhamiria kuondoka na alama zote tatu Benin

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’