Bangala weka popote isipokuwa golini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2021
Bangala weka popote isipokuwa golini

Yannick Bangala amedhihirisha ni mchezaji kiraka anayeweza kucheza katika maeneo tofauti uwanjani

Wananchi wamemshuhudia Bangala akitumika kama mlinzi wa kati katika mechi mbili za ligi kuu na kiungo mkabaji katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba

Wakati yuko AS Vita Bangala alitumika pia kama mlinzi wa kulia na hata kiungo anayeshambulia

Kwa ufupi huyu Bangala anaweza kucheza eneo lolote uwanjani ukiondoa golini tu

Ni faida kwa Yanga kuwa na mchezaji wa aina yake kwani anakuwa na faida pale timu inapokabiliwa na changamoto kama ilivyotokea kwa Bakari Nondo Mwamnyeto

Katika kikosi cha Yanga mchezaji mwingine anayeweza kumudu kucheza nafasi zaidi ya moja ni Deus Kaseke ambaye pia ametumika katika maeneo mengi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’