Ambundo kamili kuwakabili JKU

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2021
Ambundo kamili kuwakabili JKU

Mashabiki wa Yanga wana shauku kubwa ya kuwashuhudia baadhi ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu ambao hawajawa na nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Jina la winga Dickson Ambundo limetajwa sana wengi wakihoji kulikoni? mbona haonekani?

Pengine leo wanaweza kumshuhudia Ambudo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ambao utapigwa kuanzia saa moja usiku

Ambundo alikuwa majeruhi, ni miongoni mwa wachezaji ambao wamerejea kikosini na wanayo nafasi ya kucheza mchezo huo wa kirafiki

Pia mlinzi wa kushoto David Bryson anaweza kuwa na nafasi leo na hata Mapinduzi Balama ambaye amekuwa nje kwa mwaka mzima anaweza kuwa na dakika chache

Pamoja na kukiandaa kikosi chake kimbinu, mechi hizi za kirafiki ambazo hazina presha kubwa zinamsaidia kocha kuwapa nafasi wachezaji wengine na kuona vile anaweza kuwatumia katika kikosi chake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’