FT : Benin 0-1 Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2021
FT : Benin 0-1 Tanzania

Tanzania imetakata ugenini huko Benin baada ya kuichapa Benin bao 1-0 katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kombe la Dunia

Bao pekee la Tanzania liliwekwa kambani na Saimon Msuva kwa shuti kali kwenye dakika ya 7 ya mchezo

Ulikuwa mchezo mgumu ambao Tanzania ilikuwa na nidhamu kubwa katika ulinzi

Huu ni ushindi muhimu sana kwa Tanzania, wamefikisha alama saba na kurudi kileleni mwa kundi J

Sasa zimebaki mechi mbili dhidi ya DR Congo nyumbani na Madagascar ugenini

Kwa hakika lolote linaweza kutokea kwa kikosi hiki cha kocha Kim Poulsen

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’