Wamerejea kuendelea na majukumu yao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2021
Wamerejea kuendelea na majukumu yao

Wachezaji Shabani Djuma na Jesus Moloko wamerejea na kuungana na wenzao kambini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa wiki ijayo, Oktoba 19 uwanja wa Majimaji, Songea

Wachezaji hao walipewa ruhusa ya siku chache kurejea kwao DR Congo kuhuisha hati zao za kusafiria ambazo zilijaa

Moloko na Djuma walirejea jana lakini hawakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKU na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Aidha nyota waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa wanatarajiwa kuanza kurejea kambini

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kilirejea mapema leo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Benin hapo jana

Wachezaji wa Yanga waliokuwa katika kikosi hicho ni Ramadhani Kabwili, Kibwana Shomari, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Zawadi Mauya na Feisal Salum

Mlinda lango Djigui Diarra alikuwa na kikosi cha Mali ambacho kilikuwa Kenya jana kilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao

Khalid Aucho alikosa mchezo dhidi ya Rwanda akitumikia adhabu ya kadi mbili za njano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’