Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kikosi cha timu hiyo kitaelekea Songea Jumapili, Oktoba 17 siku mbili kabla ya mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa uwanja wa Majimaji, Oktoba 19 (Jumanne)
Bumbuli amesema wachezaji wote pamoja na wale waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa wataingia kambini leo kukamilisha maandalizi kuelekea mchezo huo
Bumbuli amewataka Wanachama na Mashabiki wa Yanga mkoani Ruvuma waipokee timu yao na muhimu wahakikishe alama zote tatu zinapatikana
ADVERTISE HERE