Mfumo mpya wa Wanachama unakuja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2021
Mfumo mpya wa Wanachama unakuja

Wale waliokuwa wakiuliza utaratibu wa kuwa Wananchama na kupata kadi wajiandae na mfumo mpya ambao Yanga inatarajiwa kuutambulisha karibuni

Akiwa mkoani Mtwara, Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema ndani ya siku 10 atasaini mkataba na kampuni ambayo itatengeneza kadi mpy za klabu ya Yanga na kampuni ya tehama ambayo itasimamia upande wa digitali

Aidha Dk Msolla amewataka mashabiki wa Yanga waendelea kutumia bidhaa za wadhamini wakiwemo Azam Media ili kuhakikisha wanaendelea kunufaika na udhamini wao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’