'Fitness' bado changamoto kwa Saido

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2021
'Fitness' bado changamoto kwa Saido

Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji waliobaki jijini Dar es salaam ikielezwa kuwa bado hayuko 'fit'

Mkongwe huyo amekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza tangu kuanza kwa msimu huu kutokana na kutokuwa 'fit'

Wachezaji wengine waliobaki jijini Dar es salaam ni Balama Mapinduzi, Dickson Ambundo na Yassin Mustafa

Ambundo aliumia mkono kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU wakati Mapinduzi na Yassin wanaendelea kuimarisha utimamu wa miili yao baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha

Kesho Jumanne Yanga inatarajiwa kushuka uwanja wa Majimaji Songea, kuikabili KMC katika mchezo wa ligi kuu a NBC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’