Uongozi wa klabu ya Yanga umetuma salamu za pole kwa mlinzi Paulo Godfrey 'Boxer' aliyepata msiba wa kufiwa na baba yake mzazi aliyefariki dunia leo jijini Dar es salaam
Wanachama na Mashabiki wa Yanga tunampa pole Boxer kwa msiba huo mkubwa aliopata
Mwenye ez Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha simanzi na majonzi

ADVERTISE HERE