Mapema leo Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa akiongozana na Mkuu wa msafara Haroune Batenga, wameshiriki hafla ya uzinduzi wa Tawi jipya la klabu ya Yanga, Peramiho
Tukio hilo lilihudhuriwa na Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga kutoka mji huo wa Peramiho
Yanga inaendelea kusambaa katika kila kona ya Tanzania...!


ADVERTISE HERE