Mhamasishaji wa klabu ya Yanga Haji Manara jana aliwakumbusha wadau wa soka nchini kuhusu historia ya Yanga na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika na Zambia
Manara alisema Yanga ni klabu ya watu kwa sababu ilitumika kikamilifu katika harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika na hata kule Zambia akibainisha kwa nini uwanja wa Yanga ulipewa jina la Rais wa zamani wa Zambia, Hayati Kenneth Kaunda
Ukubwa wa Yanga haukutokea tu, historia inaakisi kwa nini hii ni timu ya Wananchi...!
ADVERTISE HERE