Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa ligi kuu ya Wanawake msimu wa 2021/22 inatarajiwa kuanza Novemba 13 2021
Aidha, TFF imevitaka vilabu husika kulipia ada ya kushirki ligi hiyo kabla ya Novemba 05, 2021

ADVERTISE HERE